
SAMATTA Ameweka wavuni mara mbili na kutengeneza bao moja. Genk sasa wanaongoza kundi wakiwa na alama 6 baada ya kushinda michezo miwili na kupoteza mmoja. .
.
Kufikia sasa Genk imefunga mabao 7 na kuruhusu matano. Samatta amecheza mechi 8 za Europa na kufunga mabao 9 [Hatua ya makundi na kufuzu] .
.
.
.
Katika hatua ya Makundi Samatta ana mabao matatu kwenye mechi 3. .
Kufikia hivi sasa Samatta amehusika katika magoli 11 katika michezo 8 [Magoli 9 na asisst 2 .
Takwimu za Jumla za Samatta msimu huu amehusika magoli 18 kwenye michezo 18. [Magoli 16 na assists 2]
Mpaka sasa Samatta amehusika mabao 63 katika michezo 130, [Mabao 50 na Asissts 13].


Sasa Samatta ni miongoni mwa wafungaji waliowahi kufikisha mabao 50 ndani ya klabu ya Genk.
Mbwana Samatta ndiye mfungaji bora namba 6 wa klabu ya Genk
Mbwana Samatta ndiye mfungaji bora wa Genk kutoka bara la afrika πΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏ
#Hainakufeli #Sokaupdates