KESSY, BANDA,MANDAWA Watua South Afrika kujiunga Na STARS

Wachezaji wa Taifa Stars Hassan Kessy, Abdi Banda pamoja na Rashid Mandawa tayari wamewasili nchini Afrika Kusini kuungana na wachezaji wengine wanaounda kikosi cha Taifa Stars tayari kwa mchezo wa kufuzu Afcon dhidi ya Lesotho #sokaonlineUpdates #SokaUpdates

Leave a comment