Imeripptiwa kuwa mshambuliaji wa Manchester United Alexis Sanchez, 29, ambaye kwasasa hapati nafasi mara kwa mara ya kucheza chini ya kocha wake Jose Mourinho anafikiria kuondoka mwezi Januari ili kupata timu itakayompa nafasi ya kucheza mara kwa mara. (Evening Standard) #sokaonlineUpdates