Man U: kuanza mazungumzo ya Lataba Mpya na Mchezaji huyu

Klabu ya Manchester United inatarajia kuanza mazungumzo ya mktaba mpya na mshambuliaji wake Marcus Rashid utakaomfanya alipwe kiasi cha £150k kwa wiki ili kupoteza matumaini ya vilabu vingine vinavyonyatia saini yake ikiwemo Juventus na Real Madrid (Daily Star) .
#sokaonlineUpdates