Kiungo wa Klabu ya Simba Haruna Niyonzima hajajumuishwa kwenye kikosi cha wachezaji 27 cha timu ya Taifa ya Rwanda kitakachocheza mchezo wa kufuzu Afcon dhidi ya Ivory Coast huku Meddie Kagere akijumuishwa kwenye kikosi hicho