SERENGETI BOYS Yaendelea Na Mazoezi Leo

Timu ya Taifa ya Vijana chini ya Miaka 17, @SerengetiBoystz wakiwa kwenye mazoezi leo asubuhi kwenye Uwanja wa JMK Park kujiandaa na Fainali za Afrika za Vijana U17 zitakazofanyika mwezi Aprili Tanzania ikiwa mwenyeji.
#SerengetiBoys