Rais TFF Aomba Kamati ya Taifa Stars kuisaidia SERENGETI BOYS

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia amemuomba Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam na Mwenyekiti wa Kamati ya hamasa ya Taifa Stars Paul Makonda kuendelea kuisaidia @serengetiboystz ishinde kupitia Kamati hiyo.

credit: @tanfootball