HAJI MANARA Baada ya SIMBA Kutolewa Robo fainali

Tumetolewa lakini tumeacha alama,tusijilaumu bali kwa hatua hii tujipongeze na Inshaallah Mwakani tutarudi kwa nguvu kubwa Kwenye Ligi ya Mabingwa!!
Shukran Mungu kwa ulichotujaalia πŸ™πŸ™
Sasa tunarudi kwa nguvu kubwa kuchukua ubingwa wetu wa Tanzania.