USAJILI: Olivier Giroud amesaini Mkataba wa mwaka Mmoja kuendelea kuitumikia Klabu yake ya Chelsea

– Mshambuliaji wa Kimataifa wa Ufaransa, Olivier Giroud amesaini Mkataba wa mwaka Mmoja kuendelea kuitumikia Klabu yake ya Chelsea; Mkataba wa Giroud na Chelsea ulikiwa unafikia Mwezi Ujao, hivyo Baada ya Mkataba mpya atacheza tena msimu wa 2019/20..
#transfers

Leave a comment