MO Kuzungumza wa Waandishi wa Habari Leo

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Klabu ya Simba, Mohammed Dewji leo Jumatano Mei 22, 2019 saa 8:00 mchana ataongea na waandishi wa habari kwenye ofisi za MeTL Group zilizopo jengo la Golden Jubilee Towers, ghorofa ya 20

Leave a comment