Robert Kidiaba Muteba aliyekua mchezaji wa TP Mazembe. Ameteuliwa kuwa Waziri wa michezo wa DRC Congo. Kidiaba alishinda ubunge kwenye uchaguzi mkuu wa nchi hiyo.