Benfica imesema haitamuuza nyota wake Joao Felix chini ya dau la £105m msimu huu (Daily Mail) .

Klabu ya Benfica imesema haitamuuza nyota wake Joao Felix chini ya dau la £105m msimu huu (Daily Mail) .
Felix anawaniwa na vilabu ya Man United pamoja na Man City