Kikosi kesho asubuhi kitaondoka jijini Dar es Salaam kwenda Morogoro ambako siku ya Jumanne kitacheza mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu 2018/2019 dhidi ya Mtibwa Sugar pamoja na kukabidhiwa kombe la ubingwa. #NguvuMoja
credit: @simbasctanzania