Klabu ya Arsenal yainyemelea saini ya goalkeeper wa Ac Milan Gianluigi Donnarumma kurithi mikoba ya Peter Cech

Klabu ya Arsenal imeanza kuwania saini ya Golikipa wa Ac Milan Gianluigi Donnarumma ili kurithi mikoba ya Peter Cech aliyetangaza kustaafu baada ya fainali ya Europa League (Daily Star)

credit: @sokaonline_

Leave a comment