Waziri Kangi Lugola awakabidhi simba sc kombe la ubingwa katika uwanja wa Jamhuri morogoro

Mabingwa wa Tanzania 2018/2019 Simba wakishangilia Kombe la Ubingwa baada ya kukabidhiwa na Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola kwenye Uwanja wa Jamhuri Morogoro @simbasctanzania

#LigiKuuTanzaniaBara

credit: @sokawaytz

Leave a comment