Fainali ya klabu bingwa kurudiwa tena

credit: @sokawaytz…

– Kwa mujibu Matokeo ya Mkutano wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho La Soka Barani Afrika “CAF” uliofanyika Jana, Mechi ya fainali ya Mkondo wa Kwanza ya Ligi ya Mabingwa itarudiwa upya nje ya Tunisia kwa Sababu za Kiusalama; Kamati hiyo imeamua kuleta Waamuzi wa kuamua mtanange huo kutoka Nje ya Bara La Afrika.

.

– Klabu ya Esperance ya Tunisia ambayo ilipewa Ubingwa wa mezani na mwamuzi Bakary Gassama kufuatia Wydad Casablanca ya Morocco kugomea mechi Dakika ya 62 wakidai goli Lao lililokataliwa ni halali; Miamba hao wa Tunisia wamepewa Saa 72 kuanzia Sasa kurejesha sehemu husika Medali za Ubingwa na Kombe walilokabidhiwa na wajiandae na kucheza fainali mpya mwezi Julai..

#Updates #CAFCLFinal #TotalCAFCL

@Sokawaytz

Leave a comment