Real Madrid yamalizana na Chelsea kwa edin Hazard

credit: @sokawaytz…

– Hatimae, Chelsea na Real Madrid zimefikia Makubaliano ya uhamisho wa Eden Hazard kutua Madrid kwa dau La £88m na bonasi inakadikmliwa kufika €100m.

:

– Hazard anakuwa Mchezaji wa tatu kusajiliwa na Miamba hao Baada ya Eder Militão na Luka Jovic ambao tayari wamemwaga wino..

#transfers #Updates

Leave a comment