
credit: @sports extra
– Kikosi cha Taifa Stars kwenye mazoezi yaliyofanyika leo asubuhi kujiandaa na mashindano ya AFCON yatakayoanza Juni 21,2019.. Kabla ya kuanza kwa AFCON Timu @taifastars_ kesho itacheza Mchezo wa Kirafiki na Zimbabwe kwa ajili ya maandalizi ya Michuano Hiyo..
#TotalAFCON2019 #AFCON2019