
credit: @sokawaytz…
– Mchezaji wa Klabu ya Mtibwa Sugar, Nickson Kibabage, amesaini mkataba wa miaka minne (4) Kuitumikia klabu ya Difaa El Jadida ya Ligi Kuu Nchini Morocco… Kibabage anaungana na Mtanzania mwingine kwenye timu hiyo ambaye ni nyota wa Taifa Stars, Simon Msuva.
:
– Kibabage anaweza kucheza kama Mlinzi wa kushoto au winga wa kushoto, nafasi zote huzimudu vizuri akiwa na timu za taifa mwanzo U17 na Sasa yupo U20 na U23..
#transfers