
credit: @sports extra_…
#Repost @tzprisonsscofficial T A N Z I A
Kwaniaba ya Uongozi mzima wa Timu ya Tanzania Prisons Sports Club tuna majonzi makubwa ya Kuondokewa na aliyekua kiungo wa zamani wa Tz Prisons SAID MTUPA aliepata ajali ya pikipiki hapo jana jioni maeneo ya Iwambi nje kidogo ya jiji la mbeya.
.
.
Tunatoa pole kwa familia ya marehemu pamoja na wadau wa michezo nchini
Mungu ailaze roho ya marehemu mahala Pema peponi AMINA!!!! #RIPSAIDMTUPA
#RIPSOLDIER
#PrisonsConfidence