
credit: @sokawaytz…
– Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Senegal, Aliou Cisse amesisitiza kwamba hawezi kudharau atakapo kuwa akicheza dhidi ya Kenya na Tanzania katika mechi za Kundi la C kwenye Kombe La Mataifa ya Afrika “AFCON” nchini Misri..
:
π£ “Senegal πΈπ³ na Algeria π©πΏ ni timu kubwa na nzuri sana katika kundi hili, lakini Kenya na Tanzania hawapaswi kupuuzwa.. Ninawaambia, Senegal haiogopi wala kuhofia timu yoyote” Alisema kocha huyo ambaye Pia amesisitiza mwanzo mzuri wa Mashindano ni Kushinda mechi ya kwanza na amewaandaa vijana wake kupambana dhidi ya Tanzania siku ya Jumapili katika game yao ya Ufunguzi.. #TotalAFCON2019
@Sokawaytz