Raphael Benitez ataka kuondoka necastle United

credit: @sports extra

– Kocha Mkuu wa Klabu ya Newcastle, Rafa Benitez anajiandaa kuondoka mkataba wake utakapokwisha mwishoni mwa juma lijalo (Jumapili)… kuondoka kwake kukichagizwa na uhusiano mbovu kati yake na mmiliki wa klabu… Mtaaluma huyo Pia kapewa ofa ya kupokea Mshahara wa £6m kwa mwaka kusalia na Klabu hiyo..(@mailfootball).

#transfersUpdates

Leave a comment