
credit: @sokawaytz…
– Brazil 🇧🇷 inasonga nusu fainali ya Copa America kwa Mara yao ya Sita tangu 1993… inaungana na Uruguay kufuzu hatua hiyo Mara nyingi zaidi katika historia… Brazil pia imesonga fainali Mara tano katika Mara sita walizofika Nusu fainali, Wakichukua Ubingwa mara NNE (1997, 1999, 2004 & 2007). Samba.
#CopaAmericaUpdates #CopaAmerica
@Sokawaytz