Antonia grazman atarajiwa kutangazwa wiki ijayo na fc Barcelona

credit: @sokaonline_…

Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwenye mtandao wa @espn, Fc Barcelona inatarajia kumtangaza Antoine Griezman kama mchezaji wake kuanzia wiki ijayo kabla timu hiyo haijaingia kambini Julai 14 tayari kwa maandalizi ya msimu mpya. .

Leave a comment