credit: @sokawaytz…
DONE DEAL: Arsenal Imethibitisha Kumsajili Kiungo wa Kimataifa wa Hispania, Dani Ceballos kutoka Real Madrid kwa mkopo wa msimu Mmoja… Arsenal pia Imethibitisha kuwa Nyota huyo Atavaa jezi yenye Namba Nane (8) Katika Kipindi atakachokuwa na Klabu hiyo..
🏴 Ian Wright
🇸🇪 Freddie Ljunberg
🇪🇸 Mikel Arteta
🏴 Aaron Ramsey
🇪🇸 Dani Ceballos 🆕
:
👉 Ceballos mhispania mwingine Anavaa jezi yenye Namba Nane ndani ya The Gunners!.
#transfersUpdates #EPLTransfersUpdates