Maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo dhidi ya Tanzania Prisons Today

Leo jioni kikosi cha Simba kimefanya mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Tanzania Prisons

Mchezo huo utapigwa Jumapili May 05 katika uwanja wa Sokoine