Wizara ya Maliasili na Utalii imemteua Nahodha wa Taifa
Stars, Mbwana Samatta kuwa balozi wa hiari wa utalii.Katika majukumu yake, Waziri @hkigwangalla amesema,
Samatta atatakiwa kuzungumza Kiswahili mara kwa mara,
kuitaja #Tanzania na pia kutumia bendera ya nchi. . . … .. . . π Samatta ambaye ni mchezaji wa timu ya
KRC Genk ya Ubelgij atashuka nchini
usiku wa saa 9 kwa ajili ya kujiunga na
Timu ya Taifa ambayo inakwenda
kushiki michuano ya Afcon nchini Misri
na inakwenda ikiwa ni baada ya miaka
39 kupita.