
Gazeti la The Mirror limeripoti kwamba kocha wa zamani wa Man United, Sir Alex Ferguson alikuwa anataka Club hiyo iimpe kazi ya ukocha wa Club hiyo Mauricio Pochettino badala ya Solskjaer, inaelezwa pia Furguson ‘anaumia’ vile ambavyo Mabosi wa United hawafuati tena maoni yake. #GlobalPublishersUpdates