
credit: @sokawaytz…
OFFICIAL: Ureno wametwaa Ubingwa wa Michuano ya UEFA Nations League Baada ya kuibuka na Ushindi wa Goli 1-0 katika Mchezo wa fainali dhidi ya Uholanzi.. Ureno wametwaa Kombe hili katika Ardhi yao ya nyumbani… Goli Pekee la Gonçalo Guedes limewapa Ubingwa 🇵🇹.
.
– Ureno wamekua mabingwa mara mbili kwenye mashindano manne yaliyopita waliyoshiriki, Baada ya kubaba UEFA EURO 2016, na Mwaka huu 2019 wametwaa kombe hili La UEFA Nations league.
.
– Portugal imekuwa timu ya kwanza kutoka Ulaya kuandaa na kushinda Ubingwa wa Mashindano makubwa ya Ulaya tangu Ufaransa walipotwaa Ubingwa wa Dunia 1998 wakiifunga Brazil 3-0..
.
– Netherlands Sasa wamepoteza fainali Nne Kati ya tano za Mashindano makubwa yaliyopita kwa wao kufika fainal.. 3⃣ Kombe La Dunia na 1⃣ Nations League..Netherlands pia wameendelea kuwa dhaifu mbele ya Portugal wakuwa huko huko Portugal.. D2, L4 katika games 6⃣ walizokutana..
#NationsLeague #Updates
@Sokawaytz