Brazil yaendeleza rekodi copa America

credit: @sports extra

– Brazil 🇧🇷 haijafungwa goli katika Kila Mchezo kwenye games zao Tisa zilizopita za Copa America wakiwa nyumbani (W6, D3)… Mara ya mwisho wanaruhusu kufungwa goli nyumbani kwao katika Michuano Hii ni dhidi ya Venezuela 🇻🇪 mwaka 1989.

.

– Brazil 🇧🇷 Sasa imeifunga Nchi kutoka CONMEBOL kwa kwa ushindi wa Magoli 5+ katika Copa America kwa Mara ya kwanza tangu Robo fainali ya mwaka 2007…(6-1 v Chile 🇨🇱)..

#CopaAmericaUpdates

Leave a comment