Uruguay has maneged to beat Chile copa America

credit: @sokawaytz…

– Uruguay wameweza kushinda michezo mingi zaidi dhidi ya Chile πŸ‡¨πŸ‡± kuliko dhidi ya taifa lolote walilokutana nalo katika historia ya Copa America, wakiwatwanga mara 19 katika mechi 30 walizokutana katika Mashindano haya (D4 L7)..

:

– Uruguay πŸ‡ΊπŸ‡Ύ Pia katika game yao dhidi ya Chile πŸ‡¨πŸ‡± walikuwa wakicheza mechi yao ya 200 katika historia yao ya kushiriki kwa Michuano ya Copa America… Limekuwa ni taifa La kwanza kufikisha idadi ya Mchezo hiyo kwenye Michuano hii.

#CopaAmerica #CopaAmericaUpdates

@Sokawaytz

Leave a comment