Arsenal yashindwa kutamba mbele ya Barcelona

credit: @sokawaytz…

Arsenal Katika mechi zao za Pre-season kujiandaa na msimu wa 2019-20:

WWWDLDL

Goals: 13

Migoli ya Kufungwa: 8

Clean sheets: 2

:

– Agosti 11 watakuwa Na Kibarua Cha kuwa Wageni wa Newcastle Katika Mechi yao ya Kwanza kabisa ya msimu Mpya wa Premier league!!. 🙄

Leave a comment