Neymar aanze kukiwasha kwa kasi ya ajabu

credit: @josephjosey10_…

Ametoka kwenye majereha yaliyomuweka nje ya Uwanja miezi mitatu(3) lakini kaweza kugunga na kupiga pasi ya goli kwenye mchezo wake wa kwanza baada ya kurejea dhidi ya Colombia.

Brazil 2-2 Colombia

Leave a comment