Watanzania Waombwa kuichangia Taifa STARS

Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ iko nchini Afrika Kusini ikiendelea na maandalizi ya mchezo wa kusaka tiketi ya kutinga fainali za AFCON 2019 dhidi ya Lesotho.

Mchezo huo utapigwa Jumapili ijayo, Novemba 18 huko Masseru.

Ili kuhakikisha Stars inafuzu, viongozi wa Shirikisho la soka nchini (TFF) wameomba sapoti ya mashabiki waichangie timu hiyo ili ifanye maandalizi ya uhakika.

Leave a comment