Nemanja Vidic ameweka wazi kuwa ana ndoto za kuwa meneja wa Man United siku zijazo. :
“Natamani sana kuwa kocha wa Man United. Napenda sana ukufunzi wa Mourinho hasa hasa siku za hizi karibuni kwa namna alivyobadilisha mfumo wake” Vidic