Kufanya kazi nyumbani kwa Ronaldo hakuna tofauti na kufanya kazi na CIA.
Sheria ya kwanza siri
Sheria ya pili siri
Sheria ya tatu siri
:
Ukifanya kazi kama mfanyakazi wa ndani wa Ronaldo huruhusiwi kutoa siri zozote za familia (hata kusema tu idadi ya vijiko vya ndani ni mwiko). Sheria hiyo inampa wajibu mfanyakazi wa ndani kulinda siri za familia ya Ronaldo kwa muda wa miaka 70. :
Miaka 70 ikipita hakikisha hakuna ndugu wa damu wa Ronaldo yupo duniani wakati huo. Ili uruhusiwe kusema chochote, inabidi usubiri miaka 70 iishe, kisha uhakikishe, Mama yake Ronaldo, watoto wake na mke wake hawapo hai ndipo useme chochote.
:
Shkamoo Ronaldo. Cr7 mnyama hapendi umbeya. @soudybrown angekuwa mreno kuhusu kupata ubuyu wa familia ya Ronaldo asahau 😂😂