Klabu ya Manchester United inatarajia kuanza mazungumzo na beki wake Chris Smalling ili kumuongezea mkataba mpya wa muda mrefu. .
.
Kwa mujibu wa taarifa zilizoripotiwa na mtandao wa Daily Mail zinasema mkataba huo utamfanya Smalling alipwe kiasi cha £120K kwa wiki. .
#sokaoUpdates