Uganda yazidi kupeleka vifaa misri

credit: @sokawaytz…

– Nyota mwingine wa timu ya taifa ya @ugandacranes πŸ‡ΊπŸ‡¬ anajiunga na Klabu ya Ligi Kuu Nchini Misri πŸ‡ͺπŸ‡¬!!.

.

– Aliyekuwa Kiungo wa Klabu ya Vipers FC pia alikuwa Nahodha wa Kikosi hicho, Taddeo Lwanga Amesaini Mkataba wa kuitumikia Klabu ya Tanta FC iliyopanda Daraja kucheza Ligi kuu Nchini Misri!!.

.

– Nyota wa @ugandacranes waliojiunga na Vilabu vya Misri Baada ya AFCON..

Khalid Aucho – El Makkasa βœ…

Abdu Lumala – Pyramids βœ…

Emmanuel Okwi – Ittihad Alexandria βœ…

Taddeo Lwanga βœ…

#TransferNewsUpdates

@Sokawaytz_

Deal done mabadilishano ya canselo na danilo yakamilika

credit: @sokawaytz…

RASMI!! Mabadilishano ya Cancelo na Danilo kwa Vilabu vya Juventus na Man City yametimia!!

.

– Beki, β€ͺJoΓ£o Cancelo anatarajia kujiunga na Klabu ya Manchester City, Wakati huo huo Danilo atajiunga na Juventus… Man City pia italipa €30M kwenda Juventus Kama sehemu ya makubaliano ya uhamisho huo… Muda wowote kuanzia Kesho madili haya yatathibitishwa na Vilabu hivyo!.. #ManchesterCity #Juventus #transfers‬

@Sokawaytz_

Chelsea yashindwa kutamba mbele ya burrusia m’gladbach

credit: @sokawaytz…

FULL-TIME: Borussia M’gladbach 2-2 Chelsea

:

– The Blues hii leo wanahitimisha Mechi zao za Kirafiki kwa kupata Sare ya come back, wakipigwa Mbili Mpaka Mapumziko, na kuchomoa yote Kipindi Cha Mbili kwa Penati zikifungwa na Tammy Abraham na Kiungo, Ross Barkley Wakati Wajerumani hao wakipata magoli kupitia kwa, Alassane Plea na Jonas Hofmann… Agosti 11 Chelsea wataanza Rasmi harakati zao Katika Premier league dhidi ya Manchester United!!..

Everton yasajili kiungo kutoka ujerumani

credit: @sokawaytz…

– Everton Imethibitisha Kukamilisha Uhamisho wa kiungo kutoka Klabu ya Mainz ya Ujerumani, Jean-Philippe Gbamin Kwa mkataba wa miaka mitano kwa ada ya uhamisho Β£25m.

.

– Kiungo wa kimataifa wa Ivory Coast, 23, anachukua nafasi ya Idrissa Gueye, ambaye amejiunga na Paris St-Germain kwa pauni milioni 30… Gbamin, kucheza jumla ya mechi 11 na timu yake ya taifa zikiwemo game tatu Katika Michuano ya AFCON 2019..

#EPLTransfersUpdates

@Sokawaytz_