Klabu ya Manchester United ya Uingereza inamfuatilia kiungo wa kati wa Barcelona na timu ya Taifa Croatia Ivan Rakitic, 30 ifikapo mwishoni mwa msimu huu (Mail)
Hata hivyo huenda wakamkosa kutokana na yeye kusema kamwe kwasasa hawezi kuondoka klabuni hapo bado anatamani kuendelea kukipiga kwenye miamba hiyo ya Hispania