Msafara wa Simba walala Dubai, kuendelea na safari leo

Msafara wa kikosi cha Simba ulifika salama Arabuni jana usiku ambapo wamelala nchini humo leo wakitarajiwa kuunganisha ndege ya kuelekea nchini Algeria

Simba inakwenda Algeria kuumana na JS Saoura kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa raundi ya tano utakaopigwa Jumamosi March 09, saa nne usiku kwa saa za Afrika Mashariki