Beki na nahodha wa klabu ya Ajax Matthijs De Ligt amemwambia wakala wake Raiola kuwa kwasasa haangalii pesa ila kucheza Fc Barcelona ni ndoto aliyokuwa nayo tangu akiwa mtoto.
.
De Ligt ni moja ya mabeki bora kwasasa wanaowindwa na vilabu vikubwa barani Ulaya