Balozi wa Tanzania nchini DR Congo, Luteni Jenerali (Mstaafu) Paul Mella amekutana na wachezaji leo asubuhi ambapo amewataka kuhakikisha wanafanya vizuri kwenye mchezo wa leo kwani ushindi huo sio tu muhimu kwa klabu bali kwa Taifa. #NguvuMoja