Kikosi cha @simbasctanzania kimerejea salama Jijini Dar es salaam usiku wa leo kikitokea Lubumbashi, DRC kwenye mchezo wa marudiano wa robo fainali wa Ligi ya Mabingwa Afrika, ambapo Simba wametolewa katika hatua hiyo kwa jumla ya mabao 4-1 na TP Mazembe.




