
Mabingwa watetezi ligi kuu ya Tanzania Bara, Simba leo wanarejea kwenye ligi hiyo baada ya kumaliza majukumu ya ligi ya mabingwa barani Afrika kwa kuikabili Coastal Union katika mchezo utakaopigwa saa nane mchana mkoani Tanga
Hiki hapa kikosi cha Simba kinachoanza mchezo huo;

