Mchungahela kuzungumza na Wanahabari Makao Mkuu ya Yanga leo

Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya TFF Malangwe Mchungahela leo Jumatano, April 17 2019 atafanya Mkutano na waandishi wa habari Makao Makuu ya Yanga, Jangwani

Mkutano huo unatarajiwa kuanza saa tano asubuhi

Kwenye mkutano huo huenda Mchungahella akaweka hadharani majina ya wagombea ambao wamepitishwa baada ya usaili uliofanyika Jumapili iliyopita