Kikosi cha Simba dhidi ya JKT Tanzania, TPL April 30

Mabingwa watetezi ligi kuu ya Tanzania Bara, Simba muda mchache ujao wanashuka kwenye uwanja wa Uhuru kuikabili JKT Tanzania katika mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara

Hiki hapa kikosi cha Simba kinachoanza mchezo huo;