Simba ilivyojifua kabla ya kutimkia Mbeya

Kikosi cha Simba tayari kiko mkoani Mbeya ambapo kesho kitashuka uwanja wa Sokoine kuikabili Mbeya City katika mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara

Kabla ya safari, asubuhi ya Alhamisi Simba ilifanya mazoezi ya mwisho uwanja wa Boko Veterans kujiandaa na mchezo huo