βπΌ Kujenga kikosi ndani ya Manchester United kumeanza, Miamba hao wa Old Trafford Rasmi imewasiliana na klabu ya Fulham mara moja juu ya kutaka kumsajili kinda wao, Ryan Sessegnon.
:
βπΌ United itakutana na Upinzani kwani, Tottenham na Juventus pia wanavutiwa na kijana huyo, ambaye leo anatimiza umri wa miaka 19, lakini United ni timu pekee ambayo imetuma maombi yao kuwasiliana na Fulham hadi sasa.. Kwa mujibu wa chanzo makini @skysports.
:
βπΌ Sessegnon inaeleweka kuwa hawezi kucheza msimu mwingine katika Championship kufuatia Fulham kushuka daraja ikiwa ni msimu mmoja tangu wapande Premier league, United wanataka kuongeza vipaji kwa kusajili wachezaji vijana katika kikosi cha kocha Ole Gunnar Solskjaer..
:
βπΌ Fulham huenda wakakubali kufanya Biashara ya kumuuza Sessegnon kwa vilabu vinavyomtaka kwani kinda huyo kabakiza Mkataba wa Mwaka mmoja tu kuwatumikia watoto hao wa London..
#transfers #Updates #premierleague
@Sokawaytz