MO Akutana na Wachezaji, Benchi la Ufundi

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba Mohammed Dewji ‘Mo’ jana alikutana na wachezaji pamoja na benchi la ufundi la Simba

Mo alijadiliana mambo mbalimbali na wadau hao namba moja wa klabu ya Simba

Simba imeingia kambini kujiandaa na mchezo dhidi ya Ndanda utakaopigwa kesho Jumapili kwenye uwanja wa Uhuru

Leave a comment