Mshambuliaji wa klabu ya Juventus Cristiano Ronaldo jana amekabidhiwa tuzo yake ya kuwa Mchezaji Bora wa mwaka katika Ligi Kuu Nchini Italia “Serie A” msimu huu uliomalizika.
.
Nyota huyo amekuwa Mchezaji wa kwanza katika Historia kushinda tuzo ya Mchezaji bora wa mwaka katika Ligi kuu tatu tofauti Kati ya Ligi kubwa tano Barani Ulaya..